1
00:00:00,000 --> 00:00:05,000
Mungu ibariki Afrika 

2
00:00:05,000 --> 00:00:11,000
Wabariki Viongozi wake

3
00:00:11,000 --> 00:00:17,000
Hekima Umoja na Amani

4
00:00:17,000 --> 00:00:22,000
Hizi ni ngao zetu

5
00:00:22,000 --> 00:00:28,000
Afrika na watu wake.

6
00:00:28,000 --> 00:00:40,000
Ibariki Afrika, ibariki Afrika.

7
00:00:40,000 --> 00:00:50,000
Tubariki watoto wa Afrika.